
Yow, niajeni wadau, first of all thanks sana kwa chance kama hii, Mimi ni photographer, videographer, nafanya audio production pia under my label “Unimax Production " niko located Meru link hii hapa ya recent project nimefanya from scratch
https://youtu.be/2eZXNaul864 @Jake magzy
Mayouth lazima tujitume, mimi naezasema tuutilize skills tuko nazo, kuwa mhumble na patient pia, passion muhimu kwa kila kitu unafanya, thanks




0
0
0