
Yow what's up Meshers I go by the name Cedart na mimi Media enthusiast azn, nadu Music Production Photography na na run online radio station yangu kwa nyumba. Meanwhile nadu tubiashara kidogo kidogo kama kuuza vitunguu na ku brand matishoo pia I chose to do music juu inanipea meaning kwa life na niko principled kumake good music (not vulgar na content chafu) doing all this imenifanya ni interact na vijanaa talented na unique. My advise kwa fellow youths, usikimbilie doh idefine hustle yako, utakua frustrated juu utakuwa na circles zenye hurelate. But ukidu stuff unafeel passionate about utaifanya your best na utameet relevant people wa kukuinua na kujengana au kujenga mtu in the process. Producer Cedart, nafurahis hustle yangu!
0
0
0