Uki-make profit invest kwa biz yako ndio uweze ku-grow.
4 Business Growth Secrets Maxwell Ngeno Anatumia Kwa Biz Yake!
Kuwa patient ukiendelea ku-monitor vile biz iko.
Manage debts mapema.
Shughulikia customer wako fiti aki-come.
Share sales tips zako kwa comments!
#SisiNiMESH