Understand your customers, learn their challenges, desire, fear and concern.
Caroline Ikelo ameshare vile aliweza ku-increase sales zake.
Uki-understand customers wako poa, utajua the best solutions ku-satisfy needs zao.
Ku-engage nao better, utaweza ku-build trust na ku-grow loyalty na hivyo ndio biz yako ita-grow.
Share tips zako kwa comments.
#SisiNiMESH