π Biz of The Week: Meshack Kipruto


Niaje Fam! π
Our #BizOfTheWeek on MESH ni Meshack Kipruto.π
Ni passion fruit farmer na buyer mwenye ana hustle with passion.πͺπ―
Whether unataka kuchukua stock, kuuza , ama kujifunza farming tips.
π Connect na yeye on MESH hapa: Meshack Kipruto