🙌 Biz of The Week: Sammy Kimani


Niaje Fam! 👋
#BizOfTheWeek on MESH tuna-feature Sammy Kimani! 🐔
Sammy anafanya poultry farming na tayari ako na egg-laying layers huko Mwea! 🥚💰
Hustle yake ni proof ni possible ukijituma na biz inaweza grow!
Unataka kujua more, place orders ama ku-network?
Link up na yeye on MESH hapa: Sammy Kimani