Biz ya smokie na mayai imekua part of society yetu juu zimekua national snack na wasee wana-make a decent amount of money from hii biz.
Is Selling Smokies a Good Biz??
Peter Kuria anafanya hii biz na ana-share all you need to know about hii biashara.
Starting Capital
Peter alianza hii biz na 14K na anadai msee anahitaji the followingbasic skills;
1.Peter alianza hii biz na 14K na anadai msee anahitaji the followingbasic skills;
- Customer care – Make sure unajua kubonga na customers fiti ndio warudi na waletee wateja wengine.
Challenges
Hii biz ni hard na ina-require patience mob sana. The main challenges Peter ana-face ni;
- Inflation – Bidhaa (Smokies na Mayai) zimepanda prices na salary za wasee zina-remain constant so buying behavior ya watu inshuka.
- Competition – Wasee wengi wanafanya hii biz so ku-get location poa yak u-set biz yako imekua hard.
Sales
Peter hu-sell mayai at Ksh 25 na smokie Ksh 35 so on a good day ana-make sales za Ksh 2000.
Ukona more advice ya ku-share about hii biz? Tuchapiane kwa comments!