Uko Ready Kuomoka? Take Control Ya Doh Zako Na Kuomoka Challenge!Team MESH1 min read2 years agoJoin the Kuomoka challenge group to take control of your money in 2024! You'll get a two-minute video every week.Watch the video, do the challenge, alafu kutakua na live chats.Videos zitakua zina-drop every Tuesday.Video ya kwanza na financial advisor Millie ina-drop on 9th, January 2024.Live chat zitakua on Monday's 2 to 3pm, starting on 15th Jan.