Unataka kujua vile unaweza raise capital kama uko na small biz?
Jua Creative Ways Za Ku-raise Capital For Small Biz
Deloitte wako na tips zote una-need! Join session this Friday, 2pm, online!
Ni free for all MEHSERS! Please download Zoom mapema, then join na hii Link: https://deloitte.zoom.us/j/...